AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA
Mbunge John Heche (CHADEMA) ametoa maoni yake hayo kupitia ukurasa wake wa twitter ikiwa ni siku moja baada ya Rais Magufuli kutoa onyo kwa watu wasiohusika kutoa takwimu kufanya kitendo hicho na kuagiza mamlaka husika kuwashughulikia watu hao.
"Serikali inatakiwa kuwa mfano mzuri kwa kutosema takwimu za uongo, lakini tukianzia kwenye takwimu zinazotolewa kuhusu ukuaji wa uchumi, idadi ya viwanda na mengine mengi nafikiri inatakiwa serikali yenyewe ndio ianze kushughulikiwa kwanza," Heche ameandika.
NAFASI ZA AJIRA
JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA
GOODLUCK
Zito hajakupa kadi ya uanachama... ndiyo kwanza anakusikia.
ReplyDeleteVipi mambo shwali Heche.Jana flemani kaomba kuunganisha chama na zito kamtolea nje. Habali ndiyo hiyo.