Opereshi Saka Makahaba Sasa Kufanyika Nyumba kwa Nyumba

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Opereshi Saka Makahaba Sasa Kufanyika Nyumba kwa Nyumba
Muuu wa wilaya ya Bunda mkoani Mara, Bi. Lydia Bupilipili ameliagiza jeshi la polsi wilayani humo kuendesha msako wa watu wanaofanya biashara ya ukahaba nyumba kwa nyumba.

Bi. Bupilipili ametoa agizo hilo katika kijiji cha Kunzugu alipokuwa anazungumza ikiwa ni siku ya maadhimisho ya siku ya Ukimwi wilayani humo, ambayo pia iliadhimishwa kwa kupanda miti.
Mkuu huyo wa wilaya amewataka polisi kupita nyumba kwa nyumba kwenye nyumba za wageni, na kuwasaka wanawake ambao wanadaiwa kukodisha nyumba hizo kwa ajili ya kuendesha biashara za ukahaba.
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Miaka ya nyuma kulikuwa na zoezi la nguvu Kazi. Ukikamatwa tu unazurura unapelekwa moja kwa moja kijiji cha gezaulole na unakabidhiwa ardhi ili uwe mkulima na uachane kabisa na uzururaji. Wengi walinufaika katka hilo. Zoezi la kupunguza au kuzuia ukahaba likiwa constructive km lilivyokuwa lile la nguvu Kazi Itapendeza

    ReplyDelete

Top Post Ad