Babu Tale Afunguka Kuhusu Mjengo wa Diamond wa WCB TV, Radio “Hatuja Nunua Nyumba"

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Babu Tale Afunguka Kuhusu Mjengo wa Diamond wa WCB TV, Radio “Hatuja Nunua Nyumba"
Baada ya Story ya mjengo mpya alioupost Diamond Platnumz kushika headlines katika mitandao na hata vijiwe vya stori huku wengine wakisema kanunua na wengine wakisema kapangisha Meneja wa Diamond Platnumz Babu Tale Aeleza Ukweli.

Babu Tale alipoulizwa swali kuhusu mjengo huo amesema kuwa watazungumza baada ya kukaa na BASATA.

Babu Tale amesema hawajanunua nyumba na wao kama uongozi hawajazungumzia hilo suala ila wanasubiri kukaa na BASATA halafu watakuja kuzungumza na kusema kama wamenunua au wamepangisha na tarehe ambayo  Radio yao itafunguliwa.
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad