Hemed Naye ni Chawa Wangu- Gerry wa Rhymes

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Hemed Naye ni Chawa Wangu- Gerrybwa Rhymes
Msanii wa mziki na filamu Gelly wa Rhymes amejibu fununu zisemazo yeye ni chawa wa Hemed na hana mchongo mwengine wa maana mjini kwa kusema yeye na Hemed ni zaidi ya ndugu.


Akipiga story kupitia eNEWZ ya East Africa Television Gelly amesema yeye na Hemed wamepita hatua za urafiki na sasa wapo kama ndugu kwa kuwa wamepitia mambo mengi sana na wamekuwa wakisaidiana mambo mengi sana kiasi kwamba kwa sasa wanaishi kama mtu na kaka ake.

''Watu wanaosema mimi ni Chawa wa Hemed basi wafahamu kwamba hata Hemed ni chawa wangu kwasababu sisi tunashirikiana kwa mambo mengi'', amefunguka Gerry. Gelly pia amefunguka kuwa yeye na Hemed Phd wana mpango wa kuanzisha 'Lebel' yao ambayo itakuwa na wasanii na pia itasimamia mziki wao.

Gelly amemalizia kwa kusema kwamba nyimbo yake mpya inayokuja anampango wa kuwachana 'Vibenten' wote ambao wanaishi mjini kwa kuwategemea wanawake wawaletee hela ambazo wanahongwa na wanaume wengine. Amesema wengine ni watu maarufu na atawaja kwa majina.

----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad