Lowassa Kwenda Kule Ilikua ni Hasira Ila Huku Usije Hatukutaki- Msukuma

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Lowassa Kwenda Kule Ilikua ni Hasira Ila Usije Huku Hatukutaki- Msukuma
Baada ya Headlines za Edward Lowassa Januray 09, 2018 kwenda Ikulu kuonana na Rais Magufuli na kupongeza baadhi ya mambo yanayofanywa na Serikali yake awamu ya tano, kuna mengi yamezungumzwa kwenye mitandao na watu mbalimbali wa chama chake na hata vyama vingine.

Mbunge wa Geita Vijijini Joseph Musukuma ameona kauli za baadhi ya watu kushtushwa na kitendo cha Edward Lowassa kumpongeza Rais Magufuli. Akiongea na AyoTv Musukuma amesema

“Mi nakuomba mzee Lowassa huku ndo kwenu hilo genge la wahuni utoliweza, Lowassa kwenda kule ilikuwa ni hasira, dalili ya mvua ni mawingu, kama chama kimefanya vizuri uungwana ni kwenda kupongeza, sisi Lowassa huku hatumtaki akija anakuja kupumzika,”– Musukuma
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad