Picha ya Vanessa Yazua Jambo Mitandaoni...Adaiwa Kuwa Ana Mimba Changa

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Leo January 30,2018 kupitia mitandao ya kijamii picha ya msanii Vanessa Mdee imechukua headlines baada ya kupata gumzo na wengi kuhisi labda huenda akawa mjamzito.

Kupitia picha hiyo maswali yamekuwa mengi kutoka kwa mashabiki na wengi kuanza hata kutoa pongezi baada ya picha hiyo kusambaa katika mitandao ya kijamii akiwa Kenya kwaajili ya uzinduzi wa album yake.

Vanessa Mdee kwa sasa yupo nchini Kenya kwa jailli ya uzinduzi wa album yake ya Money Mondays na kuipromote, Vanessa Mdee pamoja na kuwa picha hiyo imtrend na kudhaniwa kuwa ni mjamzito kwa upande wake hajasema chochote.
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad