AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA
Kalonzo amesema kuwa taarifa hizo zinazosambaa kwenye mitandao ya kijamii kuwa ataapishwa mwishoni mwa mwezi februari, 2018 sio za kweli na hawezi kufanya hivypo kwa sababu ni kinyume na Katiba ya nchi hiyo.
“Najua Ruto anasubiri niapishwe ili apate sababu za kunifungulia mashtaka ya uhaini ili kuniharibia mipango ya kugombea urais mwaka 2022 dhidi yake, Kwani kuapishwa ni tukio la kinyume na katiba ya nchi na nasisitiza sitaapishwa kama inavyoripotiwa na baadhi ya vyombo vya habari,“amesema Msyoka leo Februari 13, 2018 alipokuwa mjini Machakos akiongea na viongozi wapya wanawake walioteuliwa na NASA.
Soma zaidi – Hatimaye Raila Odinga ajiapisha kuwa Rais wa Kenya mbele ya maelfu ya watu
Hata hivyo, kauli hiyo imewatibua maelfu ya watu nchini Kenya wengi wakimuita kuwa ni MSALITI na mtu muoga katika kupigania maslahi ya Wakenya.
Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.
Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA
Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.
NAFASI ZA AJIRA
JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA
GOODLUCK