AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA
Hayo yamebainishwa na taarifa zilizotolewa na uongozi wa timu hiyo kupitia moja ya kurasa zao za mitandao ya kijamii ambapo wamedai maandalizi dhidi ya mchezo huo wa muendelezo wa VPL dhidi ya Majimaji FC yamekamilika mpaka sasa.
"Tuko tayari kwa mchezo wa kesho, lakini hatutakuwa na wachezaji watatu ambao ni Yohana Mkomola, Amisi Tambwe pamoja na Donald Ngoma kutokana bado ni majeruhi hivyo hawatakuwa sehemu ya mchezo", imesema taarifa hiyo.
Kwa upande mwingine, timu ya Yanga imethibitisha kuwa ipo tayari kwa ajili ya safari yake kuelekea Shelisheli kwenye mechi ya marudiano dhidi ya St. Louis ambapo timu hiyo inatarajiwa kuondoka nchini Jumapili.
Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.
Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA
Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.
NAFASI ZA AJIRA
JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA
GOODLUCK