AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA
Majina ya Viongozi wa Chadema Waliotakiwa Kufika Kwa Mkuu wa Upelelezi Kwa Mahojiano
Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu
Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:
NAFASI ZA AJIRA
JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA
GOODLUCK
Naomba pia Jalada lingine lifunguliwe la Kusababisha Mtafaruku ulishinikiza umwagaji wa Damu
ReplyDeletekwa mwanafunzi asie kuwa na hatia likiongozwa na Genge la Mbowe na wafuasi wake.
Na hii kisheria haina Dhamana... Wawekwe kunapo stahiki mpaka upelelezi ukikamilika wanafikishwa kujibu shtaka na hukumu ikipita manaenda kutumikia na Fidia kwa Familia ya marehemu ikatwe katika Ruzuku mpaka hapo wazazi wa marehemu watakapo iaga hii dunia. Akwilima alikuwa tegemezi la familia baada ya kumaliza masoma na taifa pia limepotezewa Damu mbichi ambayo ingekuja kulitumikia na kujenga Taifa letu.
Mtafaruku ulianzishwa na Hili genge la Vinara wa chadema. Wana Usalama wana Dhamana kikatiba kutulinda sisi na mali zetu na moja ya majukumu ni Kuzuia mtafaruku na Fujo iliyojitokeza na kusababisha tukio.
Mobwe na Genge lao wanayo Historia isiyo na shaka katika kuvunja Amani na Utulivu wa Nchi yetu kwa malengo ya siasa. Wameweza kuwaleta watu toka Mikoani kulisababishia Fujo Jiji la daresalama na hili ni moja ya matokeo dhamiriwa waliyo yapanga.