Msajili wa Vyama vya Siasa Aiweka Kitanzini CHADEMA.....Awaandikia Barua Kuwata Wajieleze Kwa Kufanya Vurugu na Maandamano

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Msajili wa Vyama vya Siasa nchini, Jaji Francis Mutungi amekiandikia barua Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) akitaka kijieleza kwa nini asikichukulie hatua kwa kufanya maandamano Februari 16, 2018.

Chadema waliandamana Februari 16 mwaka huu wakishinikiza kupewa viapo vya mawakala wao kabla ya uchaguzi mdogo wa Jimbo la Kinondoni



----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

4 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Wewe msajili wa vyama una lolote ufai kuwa hapo.

    ReplyDelete
  2. Westing time ,hii ni dunia ya uwazi akuna kudanganyana

    ReplyDelete
  3. Ukisikia upumbavu wa viongozi ni kama huu. Ukisikia watu wadiothamini watu wao na hawajithamini mmojawao ni wewe. Dharau kama hizi baada ya uhai wa mwanafunzi kutoweka na ubabe kama huu namuomba Mungu akuadhibu. Huwezi kucheza na damu ya Awuilina kama kuku ukadhani hutailipa. Na si yeye tu. Avha siasa uwe binadamu uombe msamaha kwa Mungu. Unahitaji uwe gerezani badala ya kutoa ubane kama huu. Tanzania kamwe hatukuwa na mioyo ya kinyama kama hivi. Huu unyama utaishia kuwa mnyama mwenyewe. We ujipandishe tu utasjushwa kama jivu.ulitoka udongoni na utarudia udongoni vibaya kuliko ulibyomtoa huyu dada Aquilina. Omba radhi hadharani. Unawatoto mke, na ndugu. Chunga kauli zako.

    ReplyDelete
  4. Huna thamani zaidi ya Aquilina.

    ReplyDelete

Top Post Ad