Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Mkonda amesema hakuna mwenye uwezo wa kuzuia kifo lakini sababu zake zinaweza kuzuilika. RC Makonda ameyasema hayo wakati akitoa salamu za pole kwa waombolezaji waliojitokeza kwenye ibada ya kumuaga Mwanafunzi wa Chuo Cha Usafirishaji NIT, Akwilina Akwilini kilichotokea Februari 16, kwa kupigwa risasi.
TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI
----
Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.
Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA
Pia BofyaHAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.