Diamond Amtumia Salamu Naibu waziri Juliana Shonza "Hata Jela Ntaenda ila Ntaitetea Bongo Flava"

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


"Huwezi Kumfungia Mtu Kama Roma Miezi Sita Unajua Anachangamoto Gani?? Umewah Kuzitatua Unanifungia Nyimbo Zangu Umewahi Kusaidia kituGani kwenye Muziki wangu?? Utamnunulia Tifa Pampers wewe Simuogopi Mtu Hata Jela Ntaenda Ila Ntaitetea Bongofleva Naijua Kuliko Anavyoijua Anafungia Tu Bila Hata Research Simuogopi Anakuja Atatuacha hapa sisi”

Diamond Amtumia salamu naibu waziri Juliana Shonza katika Interview Ya #ThePlaylist ya Times FM
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Wewe DOMO umaarufu unakulevya, huyo unaye mtolea povu ni serikali, yenye uwezo wa 'kukubeba' ama 'kukuangusha' au kwa vile ni mwanamke tena binti mdogo?? ......SHIKA-ADABU-YAKO-NA-ADABU-IKUSHIKE.......mfyuuuuuuu

    ReplyDelete

Top Post Ad