Huzuni " Mtoto wa Miaka Minne Akutwa Akihama Kutoka Syria Kuelekea Jordan

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Dunia imeshtushwa na picha Hii ya kuhuzunisha ya kijana wa miaka Minne (4) ,aliyekuwa akihama kutoka Syria kwenda Jordan. Maofisa wa UNHCR walikutana naye akitembea kwa miguu peke yake jangwani kutoka Syria akielekea Jordan.

Kitu pekee alichokuwa amebeba ni mfuko wa plastic, maarufu Kama Rambo, ambamo ndani yake Mlikuwa na nguo za marehemu mama yake na dadake ambao waliuawa Syria.

Maofisa hao wa UN Walishindwa kujizuia hisia zao na kuanza kulia... Ni huzuni kubwa sana... Kwa wenye watoto wanaelewa mtoto wa miaka 4 anakuwaje...

Sasa fikiria kitoto hicho kinatembea jangwani peke yake.. Eee Mungu tunaomba amani.

Vita visikie tu kwa jirani yako...
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Hata kwa jilani yako huvitaki. Na walaaa huvitaki hataaa kuvisikia

    ReplyDelete
  2. UNHCR WAO WALIKUWA WAPI KAMA TAARIFA HIZO HAWAKUWA NAZO. HUWA WANATARIFA FIKA KUWA WATU WAMEUWAWA.

    ReplyDelete

Top Post Ad