Mama Kanumba Aogopa Vibweka vya Lulu Akitoa Gerezani

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Mama Kanumba Aogopa Vibweka vya Lulu Akitoa Gerezani



Mama wa marehemu Steven Kanumba, Flora Mtegoa amesema Elizabeth Michael ‘Lulu’ anaweza kutoka gerezani na kumezesha maneno machafu juu yake.



Mwigizaji huyo alihukumiwa na mahakama jela miaka 2 baada ya kukutwa na hatia za kumuua bila kukusudia mwigizaji mwenzake, Steven Kanumba.

Frola ameliambia Gazeti la Mwanaspoti kwamba, binti huyo akirudi anaweza kumezeshwa maneno mabaya akaanza kumshambulia kama awali ambazo anadai kipindi cha nyumba aliwahi kuitwa kubwa jina na binti hiyo.

“Mtoto wangu huyu anaweza kurudi mtaani na kushikwa masikio tena na watu kunifanyia vibweka kama alivyofanya awali, wala asithubutu wala kujihangaisha kwa kuwa iliyomshtaki ni Jamhuri hivyo anapaswa kuniheshimu,” anasema.

“Hakuna neno lililoniuma kama siku aliyonipigia na kuniita kubwa jinga huku akiniambia haogopi polisi wala mahakama,” aliongeza Mama Kanumba.

Flora anasema kama mzazi anamwonea huruma Lulu na anatamani kumtembelea gerezani na kumpa moyo, lakini kama ndugu zake watakuwa tayari japo hawezi kulazimisha hilo kukubaliwa.
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad