Wafungwa 740 Kuachiwa Huru

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Umoja wa Ulaya upongeza serikali ya Burundi kwa kuwaacha huru wafungwa wapatao 740 waliokuwa wamekamatwa tangu mwaka 2015  kufuatia ghasia na vurugu zilizosababishwa na maandamano na jaribio la mapinduzi.

Mjumbe maalumu wa Umoja wa Ulaya nchini Burundi amepongeza uamuzi wa wizara ya sheria nchini humo kwa kuwaacha huru wafungwa 740 waliokuwa wamekamtwa katika matukio tofauti kufuatia jaribio la mapinduzi. Miongoni mwa watu walioachiwa huru, 450 walihusika na matukio ya mwaka 2015.

Taarifa hiyo ilitolewa katika tovuti ya Umoja wa Ulaya na kuomba vijana wachwe huru vijana wote waliokamatwa katika maandamano ya mwaka 2015.
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad