AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA
Kwa mujibu wa habari,ndani ya wiki mbili zilizopita shule za msingi na sekondari zimekuwa zikiangamizwa kwa moto katika mapigano ya kikabila kaskazini mashariki mwa DRC.
Afisa polisi Ivan Legu amekiambia kituo cha habari cha Anadolu kuwa zaidi ya shule 60 zimefungwa katika vijiji sita eneo la Djugu,Ituri.
Hii ni kutokana na mapigano na mashambulizi ambayo yamekuwa yakifanywa kati ya jamii za Lendu na Hema.
Zaidi ya watu arobaini wamepoteza maisha katika mapigano hayo,hali iliyoilazimu serikali kutuma majeshi kutuliza ghasia lakini bado haikusaidia.
Eneo la Ituri linaongoz katika mapigano ya kikabila na kusababisha vifo vya wengi.
Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.
Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA
Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.
NAFASI ZA AJIRA
JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA
GOODLUCK