Aliyezaa na Ali Kiba Afunguka Mazito

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Mzazi mwenzie na msanii Alikiba Devotha ambaye amezaa naye mtoto wa kiume anayefahamika zaidi kwa jina la Unju amefunguka mazito katika siku maalum ya msanii Alikiba ambaye anaoa leo April 19, 2018 na kuonyesha jinsi gani yeye ametoa baraka kwa Alikiba kuoa.

Mama Unju amesema kuwa yeye atahudhuria katika harusi hiyo ila anakwenda kama mama wa Alikiba na kudai kuwa msanii huyo amekuwa baba bora siku zote na kumtakia aendele hivyo hivyo hata baada ya kuoa.

"Leo ni siku yako maalum Kiande wangu, rafiki yangu na baba bora Alikiba, baba usiniangushe somo yako. Mungu akusimamie katika ndoa yako. Mimi leo naenda kama Mama K, ukawe mume bora na ujali familia zote, nenda mwanangu" alimalizia Mama Unju.

Ndoa ya msanii Alikiba inafanyika nchini Kenya katika mji wa Mombasa leo April 19, 2016 ambapo msanii huyo atachukua jiko lakini pia inategemewa kufanyika sherehe nyingine nchini Tanzania siku za karibuni ndani ya mwezi huu.
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad