Le Mutuz: Marehemu Masogange Alinificha Kuhusu Kuwa na Mtoto

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Repost @lemutuz_superbrand (@get_repost)
・・・
LIVE STRAIGHT TALK: The Art Of Leadership Mungu wangu anasema TUTOE HESHIMA AU CREDIT INAPOTAKIWA BILA KUCHELEWA I am the King Of All Bongo Social Media Network ni wajibu wangu ku set the agenda ninasema ni Wajibu wangu kukupa Heshima ya kipekee kwa kazi kubwa uliyoifanya ya kuwaongoza Watanzania kuelekea kumsitiri na kumuhifadhi our good Friend Agness Masongange mpaka leo amewekwa kwenye nyumba yake ya milele SALUTE TO YOU kwa kazi kubwa uliyoifanya ya KUONGOZA cause sawa kuna watu wamechangia misada mbali mbali lakini ilitakiwa a SMART CORDINATION and that came from you ...kabla sijaendelea mimi huwa sio muongo wala mnafiki nimemjua Marehemu kwa muda mrefu sana kwanza nilianza urafiki na mdogo wake na hatimaye yeye ila sipendi kuwa mnafiki HAKUNA SIKU HATA MOJA MAREHEMU ALINIFANYA NIKAAMINI ANA MTOTO MKUBWA kama ninavyojua sasa na nimejua baada ya kutangulia kwake kwenye haki ...ni makosa sana kuilaumu Maiti lakini ndugu zangu Wadada wa Mjini please jifunzeni kuwa proud na maisha yenu mnapo post picha zenu Social Media onyesheni uhalisia hasa kama mna Watoto tujue Watoto ni Malaika wa Mungu tuwapende na tuwaonyeshe badala kuja as a suprise ukishatutoka ...again Hongera sana @stevenyerere2 kwa Ushujaa wako wa kusimama kidete kama Kiongozi na kufanikisha shughuli hii nzima ambayo siku ya kwanza msiba ulipotokea ilikua kama isingewezekana lakini IMEWEZEKANA na Agness amezikwa kwa Heshima kubwa sana ambayo hata yeye sidhani kama alitegemea angekuja kuzikwa nayo ninasema hivi zote ni Juhudi zako umelala macho umehangaika mpaka mazishi ya kiheshima sana yamefanyika ...ujumbe wangu kwa Wasanii ni kwamba asiye na macho asione na mwenye masikio na asisikie lakini leo nawapa live kwamba Steve ndiye kiongozi wenu mnayetakiwa kumuheshimu na kumtumia kutafuta mendeleo yenu now its up to you ...sawa najua figisu figisu zenu lakini mwisho wa siku mkae chini mumpe Uongozi wenu rasmi kwa sababu sio mara ya kwanza anasimama kuwapa heshima mbele ya Jamii ..now haya ni mawazo yangu tu nasema MNYONGE MNYONGENI ila Wasanii Steve ni Kiongozi wenu na uamuzi ni wenu kusuka au kunyoa .....LONG LIVE STEVE NYERERE YOU ARE A NATURAL LEADER
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Top Post Ad