Mjukuu wa Malkia Elizabeth Prince William Ahaidi Kuipa Tanzania Ulinzi

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Mjukuu wa Malkia Elizabeth wa Uingereza Prince William Ahaidi Kuipa Tanzania Ulinzi
Mjukuu wa Malkia Elizabeth wa Uingereza, William Arthur amemuahidi Makamu wa Rais Samia Suluhu kuwa ataisaidia Tanzania katika kuboresha ulinzi wa wanyama pori kwa kutumia teknolojia ya hali juu na kumualika Rais Magufuli katika mkutano wa masuala ya wanyapori utakaofanyika Oktoba 2018.


Prince William ameeleza hayo wakati alipokutana na kufanya mazungumzo na Mama Samia leo katika Jumba la Kifalme la Buckingham Palace nchini Uingereza ambapo Makamu wa Rais amekwenda kumuwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli katika mkutano wa wakuu wa nchi na serikali wa nchi za jumuiya ya Madola.​

Kwa upande wake Makamu wa Rais alimweleza Prince William kuwa Tanzania inatambua mchango wake katika kuzuia ujangili wa wanyama pori na serikali ya Tanzania imekuwa ikichukua hatua mbalimbali ya kupambana na kuzuia ujangili ingawa bado haijawa na teknolojia yenye uwezo wa wa kutambua na kuona wanyama wote lakini wameendelea kuimarisha ulinzi wa wanyama pori.
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Kwanini watake kumualika Rais wetu katika masuala ya wanyama pori wakati Waziri husika wa mali asili yupo? Jitihada kubwa zinafanyika kutoka nchi za kibepari kuhakikisha Magufuli anakwenda kule kwanini?

    ReplyDelete

Top Post Ad