Nampenda Sana Jokate Mtu Akimsema Vibaya Naumia Sana- Haji Manara

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Nampenda Sana Jokate Mtu Akimsema Vibaya Naumia Sana- Haji Manara
Mkuu wa Habari na Mawasiliano wa timu ya Simba, Haji Manara, amesema anavutiwa sana na mrembo Jokate Mwegelo kwasababu ni mtu anayependa kusikiliza na kupokea ushauri.


Akiongea katika kipidi cha KIKAANGONI April 18, 2018 kinachorushwa mubashara kupitia kurasa za kijamii ya EATV,  na kusema kwamba kati ya wanawake maarufu waliopo nchini anavutiwa zaidi na Jokate kuliko Wema Sepetu.

“Mimi ni mshabiki sana wa Jokate Mwegelo, nampenda sio kimapenzi niweke wazi ni rafiki yangu, kati ya wasichana maarufu, nampenda sana Jokate, inatokea tu hata Jokate akisemwa vibaya naumia, halafu anasikiliza ni aina ya mwanamke ambae hata kumshauri unasikia raha”, amesema Manara.

Manara amesema kuhusu kumuoa Wema Sepetu, ilikua ni utani ambao aliuweka kwa nia ya kusisitiza hoja yake kuhusu kubadilishwa kwa ratiba ya Ligi Kuu Tanzania Bara

Sambamba na hayo Manara amekiri kwamba, Wema Sepetu, ni msichana mrembo na ni moja kati ya watu wenye nguvu na ushawawishi mkubwa na anaweza kutumika hata katika matukio makubwa ya nchi.

Kuwa supa na Instagram ya bure toka Vodacom kwa kununua kifurushi cha kuanzia buku tu.

----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad