Johari Afurahishwa na Ndoa ya Chuchu na Ray Atoa Baraka Zake

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Johari Afurahishwa na Ndoa ya Chuchu na Ray Atoa Baraka Zake
MKONGWE wa sinema za Kibongo, Blandina Chagula ‘Johari’ amefunguka kuwa hakuna kitu kitakachomfurahisha kama mwigizaji mwenzake, Vincent Kigosi ‘Ray’ akimuoa mzazi mwenziye, Chuchu Hans.


Akizungumza na Over Ze Weekend, Johari aliyewahi kudaiwa kutoka kimapenzi na Ray alisema kuwa, anatamani hivyo kwa kujua wazi kabisa kuwa Chuchu ni sahihi la Ray maana ni mwanamke ambaye amemzalia mtoto mzuri.


“Kiukweli nitafurahi sana mkurugenzi mwenzangu (RJ Company) akimuoa Chuchu. Kwanza ni mwanamke wa chaguo lake na pia amemzalia kidume cha nguvu na kwenye harusi nitakuwa mstari wa mbele,” alisema Johari.
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad