Mbwana Samatta Atua Mecca Kufanya Umrah

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Mbwana Samatta atua Mecca kufanya Umrah
Mbali na soka lakini mchezaji wa Taifa Stars na Klabu ya KRC Genk ya Ubelgiji, Mbwana Samatta ni mtu wa ibada.

Mchezaji huyo baada ya kumalizika kwa ligi kuu ya Ubelgiji ametua mjini Mecca nchini Saudia Arabia kwa ajili ya kufanya ibada ya Umrah.


Mbwana Samatta (kushoto) akiwa na mchezaji mwenzake wa Genk, Omar Colley

Kwenye ziara hiyo, Samatta ameambatana na mchezaji mwenzake wa Genk, Omar Colley ambaye ni raia wa nchini Gambia.

Samatta anatarajiwa kurejea hapa nchini muda sio mrefu kwa ajili ya kujiandaa na mchezo wa hisani wa kuchangia elimu kati yake na timu ya Alikiba kwenye mchezo ambao unatarajiwa kuchezwa Juni 9, mwaka huu.
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad