5/21/2018

Moj Afunguka "Mtoto wa Gigy Money ni Wakwangu Yule Jamaa Yeye Anapewa tu Papa"


Mtangazaji Moj Amejibu tuhuma alizosema Gigy Money Jana kuwa mtoto aliyezaa sio wake, Moj akihojiwa amesema haya;

"Mtoto ni wa kwangu damu yangu sina problem wala siwazi juu ya hilo hata waseme kitu gani, si anakuwa yule mtoto unajua mungu ni waajabu sana si anakuwa yule mtoto kila mmoja atamuona, yule jamaaa anapewa tu kwasababu ya fedha, familia yake ilikuwa inataka sana gift awe na jamaaa  ni basi tu Gigy alikuwa na mapenzi na mimi, na yule jamaaa alikuwa kama yupo kwenye Marathon akisubiri filimbi ipigwe, alikuwa anasumbua sana mara vimeseji mara simu ila damu ya mtu haipotei" Moj


Install Application ya Udaku Special Uweze Pata Habari Kama Hizi Kirahisi Zaidi
=>BOFYA HAPA KUINSTALL/DOWNLOAD
Loading...
Weka Maoni yako Hapa

0 facebook:

Post a Comment

Loading...

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger