5/24/2018

PICHA : Kutana na mtoto wa Steve Nyerere aliyezaa na staa huyu wa Bongomovie

Msanii wa filamu Bongo Steve Nyerere ametuonesha picha za mtoto wake mdogo anayetimiza mwaka siku ya leo May 22, 2018 mtoto aliyezaa na Msanii wa filamu Wellu Sengo ‘Matilda‘ kama utakumbuka wawili hawa waliwahi kuhusishwa kutoka kimapenzi kipindi cha nyuma.

Licha ya Steve Nyerere kutuonesha picha za mtoto huyo ambaye ni wakike lakini pia mastaa mbalimbali akiwemo Wema Sepetu na Nuh Mziwanda wamempost na kumtakia heri mtoto huyo……
”TIVU…!!! TIVU….!!! TIVU….!!! Aaaaah sijui hata niseme nini… Umejifungua Baba… Mashallah Jamani… Waone mlivyo kama mapapai… Hapa ulituliza Kosekshen yako… Hongera Tivu akee… Mungu akutunzie Binti yako na Familia yako”“Ila pia mpende sana @sengomatilda @sengomatilda @sengomatilda … My Baby sister umempa huyu mtu Bichwa kubwa sana kwakweli… Kababy kenu ni kashweet kupita maelezo… ” -WEMA SEPETU

“Twins ‘Hongera sana Brother copy kabisa @stevenyerere2 ” -Nuh Mziwanda


Install Application ya Udaku Special Uweze Pata Habari Kama Hizi Kirahisi Zaidi
=>BOFYA HAPA KUINSTALL/DOWNLOAD
Loading...
Weka Maoni yako Hapa

0 facebook:

Post a Comment

Loading...

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger