BASATA Waongelea Swala la Kufungiwa kwa Wimbo wa Sugu.

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


BASATA Waongelea Swala la Kufungiwa kwa Wimbo wa  Sugu.
 
Baada ya kufungiwa kwa muziki wake uliojulikana kama 219, sugu aliitishia baraza kuwa atawaburuza mahakamani kwa sababu wamemuonea na kwamba hata wimbo wenyewe haukuwa umetoka ila kuna mtu aliuvujisha tu .

Wimbo huo ambao unasemekana kuwa hauna maadili na umekuwa kama wa kupotosha fikra za jamii ulifungiwa kutosambazwa wala kupigwa eneo lolote lile mpaka utakapo badilishwa lakini msanii mwenyewe anasema kuwa baraza wamezoea kuwaburuza na kuwaonea wasanii hivyo yeye hatokubali kuonewa.

Akijibu na kuelezea kwanini wimbo huo umefungiwa , katibu wa BASATA Godfrey Mngerza amefunguka na kusema kuwa kama Baraza hawa angalii wimbo umetolewa na  nani bali wanaangalia kama msanii huyo amefuata taratibu za utoaji nyimbo.

Sisi hatuamngalii huyo ni nani au anafanya nini , sisi tunaangalia tu kama anafanya kazi yak ya sana vizuri,ni kazi ya sanaa na imetolewa na mwanamuziki bila kujali hizo nanii zingine..kwaio baraza la sanaa la taifa linaangalia kazi ya sanaa linaangalia kazi za msanii, lakini pia hatuangalii kazi hii imetolewa official au vipi  sisi hilo hatuangalii. sisi kama baraza tunajua kuwa kama kazi haukufuata utaratibu na sio lazima tukukufungia na wala hatuna haja ya kukuita wewe msanii.
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Top Post Ad