Mtoto wa Mugabe Kutolewa Nje ya Nyumba Baada ya Kushindwa Kulipa Kodi

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Mtoto wa Mugabe Kutolewa Nje ya Nyumba Baada ya Kushindwa Kulipa Kodi
Mtoto wa Rais wa zamani wa Zimbabwe Robert Mugabe Russel Goreraza, yuko kwenye wakati mgumu baada ya  kutakiwa kutoka nje ya nyumba aliyopanga kwa kushindwa kulipa kodi.

Mtoto huyo anadaiwa kiasi cha Dola 65, 801 kwa muda aliokaa kwenye nyumba hiyo.

Goreraza, ambaye ni mtoto wa  Mke wa Mugabe hajalipa kodi hiyo kwa miaka mitatu.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Top Post Ad