Ajali: Basi la Dar Express Lililokuwa Likitokea Arusha Lateketea kwa Moto

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Ajali: Basi la Dar Express Lililokuwa Likitokea Arusha  Lateketea kwa Moto
Basi la Kampuni ya Dar Express likitokea Arusha kwenda Dar es Salaam limeteketea kwa moto usiku huu wa Jumapili, Julai 8, 2018 katika eneo la Bunju Mwisho.



Aidha, chanzo cha moto huo hakijajulikana lakini pia hakuna taarifa za majeruhi wala vifo vilivyoripotiwa kutokana na ajali hiyo.

Kwa mujibu wa shuhuda wa tukio hilo amesema abiria waliwahi kushuka mara baada ya kuona dalili za moto ukiwaka kwenye taili la nyuma.



-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad