Good News: Wavulana Wote 12 na Kocha Wao Waliokwama Pangoni Thailand Waokolewa Wakiwa Hai

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Good News: Wavulana Wote 12 na Kocha Wao Waliokwama Pangoni Thailand Waokolewa Wakiwa Hai
Wavulana 12 wa timu ya soka Thailand na kocha wao wameokolewa salama kutoka ndani ya pango walimokuwa wamekwama kwa siku 17 kaskazini mwa Thailand.

Mkasa huu uliwagusa wengi duniani, waliofuatilia kwa makini jitihada za kuwakoa.

Kikosi cha wanajeshi wa maji nchini kilichosimamia operesheni hiyo ya uokozi wanasema wavulana hao a kocha wao wameokolewa salama na kukamilisha operesheni iliyokuwa ngumu na ya hatari.

Je wajua kwamba mtoto akipewa chakula kigumu mapema analala vizuri?

Mtoto wa miaka miwili ajiua kwa risasi Marekani

Pacha walioungana Tanzania wawasili Saudi Arabia kwa upasuaji

Kundi hilo la vijana wacheza soka walikwama ndani ya pango tangu Juni 23 baada ya mvua kubwa kunyesha na kusababisha pango kufurika maji.

Awali duru iliyokuwa ndani ya operesheni hiyo ya uokozi imeiambia BBC kwamba watu watatu wametolewa kutoka kwenye pango hilo leo.

Operesheni hiyo iliendelea leo wakati wavulana wanne, kocha wao na daktari na wanajeshi watatu wa maji wakiwa ndani ya pango hilo.
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad