Mwigulu Nchemba Baada ya Kukabidhi Ofisi Leo “Bodaboda Wanapata Tabu”

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Mwigulu Nchemba baada ya kukabidhi ofisi leo “Bodaboda wanapata tabu”
Aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Dr Mwigulu Nchemba amekabidhi rasmi ofisi ya Wizara hiyo kwa Waziri mteule mpya Kangi Lugola mkoani Dodoma.

Nchemba ameongelea pia baadhi ya mambo ambayo kama Wizara ilianza kuyashughulikia na angetamani kuona yakitekelezeka ikiwemo ahadi ya uandaaji wa kanuni mpya ya utozaji faini kwa vyombo vya moto ikiwemo bodaboda.
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad