7/11/2018

Huu ndio ugonjwa uliokatisha uhai wa mke wa Ephraim Kibonde (Video)

Familia ya Kibonde imetaja ratiba ya mazishi ya mke wa mtangazaji wa kituo cha radio cha Clouds FM, Ephraim Kibonde huku wakieleza chanzo cha umauti cha Sara Kibonde.

Familia ya Kibonde imesema Sara amekuwa akisumbuliwa na ugonjwa wa saratani na hadi umauti unamkuta alikuwa amelazwa katika hospitali ya Hindu Mandal.

Sara katika maisha yake ya ndoa na Ephraem Kibonde wamefanikiwa kupata watoto watatu na mwili wake unatarajiwa kuzikwa Ijumaa hii katika makaburi ya Kinondoni.

VIDEO:Install Application ya Udaku Special Uweze Pata Habari Kama Hizi Kirahisi Zaidi
=>BOFYA HAPA KUINSTALL/DOWNLOAD
Loading...
Weka Maoni yako Hapa

0 facebook:

Post a Comment

Loading...

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger