Mapenzi Kiboko Baraka The Prince Abadili Dini ya Mpenzi Wake Naj

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Mapenzi Kiboko Baraka The Prince Abadili Dini ya Mpenzi Wake Naj
Kwa kitambo sasa hivi tunafahamu kwamba Mwimbaji wa Bongofleva Baraka The Prince amekua mapenzini na Mrembo Naj ambae ni Mwigizaji/Msanii ila hili la kubadili dini hatukua tunalifahamu.

Kwenye EXCLUSIVE Baraka amethibitisha kwa kusema ni kweli amebadili dini ambapo namnukuu akianza kwa kusema “Ujue mambo ya dini bro ni imani, sio rahisi kama wengine wanavyochukulia hivyo mpaka unaikana imani unakua umeamua sana, umefatilia umejua faida na hasara zake“


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad