Wanawake Wawapiga Marufuku Wanaume Kuzika Kisa Hiki Hapa

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Wanawake Wawapiga Marufuku Wanaume Kuzika Kisa Hiki Hapa
Taarifa kutoka katika kata ya mto wa Mbu, Arusha leo July 17, 2018 ni hii ya wanawake kukataa wanaume wasishiriki kwenye mazishi ya mama anayejulikana kwa jina la Ruth kutokana nakudaiwa kuuawa kisha kubakwa na watu wasiojulikana huku wakiwatuhumu wanaume wa eneo hilo kuhusika na matukio hayo.

Wakati jeshi la polisi Arusha likithibitisha kutokea kwa tukio hilo, Mbunge wa jimbo hilo la Monduli Julius Kalanga amesema wanawake hao wamefikia uamuzi huo baada ya matukio hayo kukithiri huku akilitaka jeshi la polisi kuchunguza na kuchukua hatua.

“Pamoja na kuwa ni mtu wa nane kuuawa wanawake wameonyesha hisia zao kwa kudhani kwamba wanaume ndio wanaowauwa kwani tangu matukio haya yatokee haijawahi kutokea mtu aliyehukumiwa kutokana na matukio haya” -Mbunge Kalanga
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad