Mbunge azuiwa kuingia hotelini bila cheti cha Ndoa

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Mwakilishi wa wanawake wa kaunti ya Laikipia, jimbo linalopatikana takriban 250km kaskazini mwa jiji la Nairobi, Catherine Waruguru anasema haki zake za kimsingi zilikiukwa baada ya yeye na mumewe kuzuiwa kuingia katika hoteli moja nchini humo kwa kukosa cheti cha ndoa. 

Mbunge huyo ametishia kuishtaki hoteli hiyo ya mjini Kericho, eneo la Bonde la Ufa akisema alidhalilishwa. 

Hoteli hiyo imeweka ilani kwamba mwanamume na mwanamke hawawezi kuruhusiwa katika chumba kimoja iwapo hawajaoana. 

Lakini mbunge huyo anasema wanandoa wengine waliruhusiwa kuingia bila kuitishwa cheti cha ndoa, na kwamba walifanya kila juhudi kuthibitisha kwamba walikuwa mume na mke ingawa hawakuwa na cheti cha ndoa.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad