Amber Lulu Afunguka kwa Sasa Ameacha Umalaya, Ameamua Kufanya Muziki

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Msanii wa muziki, Amber Lulu amefunguka kwa kudai kwamba kuna wakati anaamua kufanya umalaya lakini kwa sasa ameachana na mambo hayo.

Muimbaji huyo ambaye alikuwa ni mmoja kati ya wasanii waliopamba tamasha la Komaa Concert la EFM, amedai kwa sasa ameamua kufanya muziki na kuacha mambo mengine.

"....Nafanya muziki kwa sasa, sifanyi mambo mengine na nikiamua kufanya umala nafanya kweli". Anakaririwa Amber Lulu
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad