RC Makonda afunguka kuhusu Harusi ya Lulu Michael na Majizo, Wasipo Oana Nawafunga

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Kwa kipindi kirefu kumekuwa na stori za hapa na pale kuwa muigizaji wa filamu Bongo, Elizabeth Machael 'Lulu' anaolewa na Majey.

Sasa basi, Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda jana  August  18, 2018 akiongea na waandishi wa habari alipohudhuria Komaa Concert aliulizwa kuhusu uwepo wa harusi hiyo.

RC Makonda amesema Harusi ya Lulu na Majey ni miongoni mwa harusi tatu ambazo ni lazima azisimamie.

"Majizo tayari yupo kwenye mipango na binti yangu Lulu na wameshakuja nyumbani na wameshafanya vikao vingi vya kupanga kwa ajili ya Harusi," alisema RC Makonda.

RC Makonda ametaja harusi nyingine mbili ambazo lazima azisimamie ni ile ya Meya wa Kinondoni, na ya Lemutuz, Amedai kuwa wasipooana anawafunga

Msikilize hapo chini
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad