CCM Chakanusha Kumpitisha Juliasi Kalanga Jimbo la Monduli

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

CCM Chakanusha Kumpitisha Juliasi Kalanga Jimbo la Monduli
Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Arusha, Loata Sanare amesema kuwa chama hicho bado hakijampitisha Julius Kalanga (aliyetoka Chadema) kuwa Mgombea wa katika Jimbo la Monduli kwenye uchaguzi wa mdogo unaotarajiwa kufanyika hivi karibuni.



Aidha, Sanare amesema kuwa, kupitia CCM, ni Kalanga pekee ndiye amechukua fomu ya kuomba ridhaa ya kuwania ubunge ambayo tayari imeshapelekwa kwenye ngazi za juu za chama hicho kwa ajili ya usaili na kupitishwa kama itawezekana.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad