Dokii Akanusha Kuhusika Kumtafutia Managment Mpya Rich Mavoko Baada ya Kugombana na WCB

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Kumekuwa na Sintofahamu Baada ya Dokii Kutangaza kuwa WCB Wanamnyonya sana Rich Mavoko na baada ya siku kadhaa Mavoko kutoa wimbo mpya kwenye Channel ya Youtube iliyoandikwa BilioneaKid, Sasa Dokii ameibuka na kusema haya:

'Watu wanaongea sana ila hakuna kitu kama hicho cha mimi kumtafutia Rich Mavoko Lebo mpya baada ya kutoka WCB, Hana lebo mpya bado tupo tu kifamilia, Watu waache kuongea ongea vitu wasivyovijua vizuri' Dokii
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad