Sababu za Kijana wa Miaka 16 Kudukua Mtandao wa Apple

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Leo August 18, 2018 Stori nayokusogezea ni kumhusu Kijana mmoja mwenye umri wa miaka 16 amekiri kuudukua mtandao wa Apple na kuiba baadhi ya taarifa.

Kijana huyo amesema alifanya udukuzi kwasababu yeye ni mpenzi mkubwa wa bidhaa za Kampuni hiyo na alitaka kuwashawishi wafanye naye kazi.

Polisi walifanya upekuzi nyumbani kwa kijana huyo na kupata kompyuta 2 pamoja na vifaa vingine vilivyotumika kwenye udukuzi huo.

Kijana huyo ambaye jina lake limehifadhiwa amejipatia umaarufu katika jamii ya wadukuzi kutokana na umri wake kuchukuliwa kama ni mdogo sana ukilinganisha na udukuzi alioufanya. Baada ya kufikishwa Mahakamani kesi yake inatarajiwa kuendelea mSeptember 20 mwaka huu.

Rais Magufuli ashtukiza aibukia ndani ya Dreamliner asubuhi alichofanya
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad