Ukweli wa Jose Mourinho kuhusu Paul Pogba

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Kocha wa Man United Jose Mourinho baada ya maneno kuwa mengi kuwa hayuko katika mahusiano mazuri na staa wa Ufaransa anayeichezea club hiyo Paul Pogba, leo Mourinho amefunguka na kueleza kuhusiana na ishu hiyo.

Kwa zaidi ya wiki sasa kumekuwa na tetesi kuwa Jose Mourinho haelewani na Paul Pogba, kiasi cha taarifa kuzidi kuwa kiungo huyo amemwambia Mourinho kuwa kama anataka kuongea nae kuhusu masuala ya kuhama aongee na wakala wake Mino Raiola.

Mourinho amethibitisha kuwa ana furaha kuwa na Paul Pogba katika kikosi chake licha ya kuwa, staa huyo ameripotiwa kuwa anataka kuondoka Old Trafford na kurejea Juventus lakini FC Barcelona ndio wana nia ya dhati kutaka kumsajili Pogba
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad