TANZIA: Bingwa wa Dunia wa Mbio za Mita 400, Nicholas Bett Afariki Dunia kwa Ajali ya Gari

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

TANZIA: Bingwa wa Dunia wa mbio za mita 400, Nicholas Bett afariki dunia
Bingwa wa Dunia wazamani wa mbio za mita 400, Nicholas Bett amefariki dunia kwa ajali ya gari iliyotokea hii leo siku ya Jumatano majira ya asubuhi huko Nandi.

Kamanda wa polisi wa County ya Nandi nchini Kenya, Patrick Wambani amethibitisha kutokea kwa ajali hiyo hii leo majira ya asubuhi.

Bett amekuwa mwanariadha wakwanza kutoka Kenya kushinda ubingwa wa Dunia kwakutumia muda wa dakika 47 na sekunde 79 kwenyemichuano ya iliyofanyika Beijing nchini China mwaka 2015.

Lakini pia mwanariadha huyo wa Kenya aliwahi kuvunja rekodi ya dunia katika kukimbiza upepo baada ya kutumia dakika 48 na sekunde 24.

Nicholas Bett akiwa amezaliwa Januari 27, 1990 ni mtoto wa pili kwenye familia yao yenye watoto watatu. Kaka yake Haron Koech akiwa kwenye timu ya taifa ya Kenya ya Olympics huku marehemu akiwa ameacha mke na watoto watatu.
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad