Zari Amtumia Ujumbe Mzito Daylan "Happy Birthday Daylan Nakupenda Ila Internet Itakusema Siku Zote Kuwa Umekuja Kubomoa Nyumba Nyingine"

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Zari Amtumia Ujumbe Mzito Daylan "Happy Birthday Daylan Nakupenda Ila Internet Itakusema Siku Zota Kuwa Umekuja Kubomoa Nyumba Nyingine"
Siku ya Augost 8 ilikuwa ni siku ya kuzaliwa mtoto wa Mwanamitindo Hamisa Mobetto aliyezaa na mwanamuziki Daimond Platinum aitwaye Daylan.

Katika siku hiiyo ya kumbukumbu ya mtoto huyo ya kutimiza mwaka mmoja Daylani na Mama yake ambaye ni hamisa Mobetto walipata mwaliko katika ofisi za WCB ambapo waliungana na timu nzima ya WCB Aakiongozwa na Daimond mwenyewe amboa walimfanyia part ndogo kwa kukata keki na kumuimbia nyimbo za Birthday.

Siku ya jana zari alifanyiwa interview na kituo cha runinga cha NBS cha uganda akaulizwa anaichukuliaje siku ya kuzaliwa ya mtoto Daylani na hivi ndivyo alivyojibu;

"Happy birthday Daylani! naamini utapata yaliyobora maishani na Aunt Zee anakupenda  vyovyote vile umma utasema  halikuwa kosa lako ulijikuta tu katika hili na ndomana ukatokea internet siku zote itakusema kuwa ni mtoto uliyekuja kubomoa nyumba nyingine mtoto aliyezaliwa kutokana na kosa vyovyote watakavyosema kama hupo hapa naamini utakuja kuwa kitu bora" alisema Zari

Ikumbukwe kuwa Daimond amezaa watoto wawili na Zari na Mtoto mmoja kutoka kwa hamisa Mobetto kwa hiki alichikionyesha zari naamini Daimond amekifurahia kwakuwa siku ya birthday ya mama yake alitoa ushauri kwa wazazi wenzake kuwa kila mtu ampende mtoto wa kila mmoja kwakuwa ni ndugu na malezi hayo yatasaidia kuwaunganisha watoto hao katika shida na raha pale watakapokuwa wakubwa.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad