Afande Sele Awatupia Lawama Nzito Wasanii wa Bongo Fleva... Amtaka Prof. Jay ahame CHADEMA

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Afande Sele Awatupia Lawama Nzito Wasanii  wa Bongo Fleva... Amtaka Prof. Jay ahame CHADEMA
Msanii mkongwe wa muziki wa Hip Hop nchini Tanzania, Afande Sele amefunguka sakata la Chama tawala cha Mapinduzi (CCM) kutangaza wazi wiki iliyopita kuwa hakitawatumia wasanii wa muziki wa Bongo Fleva na Waigizaji wa filamu, Bongo Movies.



Kwa upande mwingine, Afande Sele amemshauri Mbunge wa Mikumi, Professor Jay kuachana na chama chake cha CHADEMA na ajiunge CCM, ili aweze kushinda tena Ubunge wa jimbo hilo katika uchaguzi mkubwa ujao na kuwaletea maendeleo wananchi wake.


Afande akimtolea mfano Mbunge wa Mbeya Mjini, Mhe.  Joseph Mbilinyi amesema kuwa ni moja ya wabunge wakorofi ambao wanatamka maneno ya kejeli na matusi kwa Rais Magufuli, kitu ambacho hakileti picha nzuri ndani ya wabunge wa upinzani.
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad