AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Waziri wa Ujenzi Mhandisi Isaack Kamwele hadi sasa miili 209, imeopolewa na watu 41wameokolewa wakiwa hai katika ajali ya kivuko cha Mv Nyerere kilichozama katika ziwa Victoria eneo la Ukara Ukerewe.
Waziri Kamwele amesema Miili 172 imetambuliwa, 37 haijatambuliwa, 112 imeshachukuliwa na ndugu kwa ajili ya mazishi na uokoaji bado unaendelea .
Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.
Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA
Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.
NAFASI ZA AJIRA
JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA
GOODLUCK