Dogo Janja Atoa Kauli Tata

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Dogo Janja atoa kauli tata
Mashabiki wa msanii wa muziki nchini Dogo Janja, wameoneshwa kukerwa na kauli ya msanii huyo aliyoitoa katika mtandao wa twitter, ambayo wengi wao wameashiria kama anataka kujiua.



Hayo yote yamekuja baada ya msanii Dogo Janja kuweka ujumbe ndani ya mtandao huo akisema “Sina Urafiki na Dunia Yenu!” Kauli iliyopata komenti za wadau wengi wakisema.

 imemtafuta Dogo Janja kuelezea hayo ambapo amesema, kauli hiyo inatoka katika wimbo wake mpya anaotarajia kuachia hivi karibuni,unaoenda kwa jina la “ “IMANI” huku akikataa kuzungumzia mahusiano yake na Irene Uwoya na kusema kauli hiyo haihusiani na maisha ya ndoa yake kwa sasa.


Dogo Janja
@dogojanjatz
 · Sep 21, 2018
 Sina urafiki na Dunia YENU!


Fundikira jr
@Hamadon14
Kushindwa dumu wewe kunywa sumu Mimi sitaku hukumu nitatoa tu rambirambi

7:06 PM - Sep 21, 2018
3
See Fundikira jr's other Tweets
Twitter Ads info and privacy
Tumekuwa tukishuhudia kuwepo kwa matukio yanayopelekea watu wengi kujiua hususani watu maarufu duniani kutokana na “stress” hofu za maisha au mahusiano. Wasanii Avicii na Mac miller ,waliripotiwa kupoteza maisha kutokana na stress walizokuwa nazo ndani ya mahusiano yao.

Dogo Janja amedaiwa kutokuwa na mahusiano mazuri na mpenzi wake Irene Uwoya, hali inayoashiria kuvunjika kwa ndoa ya wawili hao.
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad