Calisa Ajisifu kwa Ufuska " Nishatembea na Wanawake Zaidi ya Elfu Moja"

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Calisa Ajisifu kwa Ufuska " Nishatembea na Wanawake Zaidi ya Elfu Moja"
MWANAMITINDO asiyeishiwa skendo mjini, Calisah Abdulhamid amefunguka kwa mara nyingine tena kuwa katika ukuaji wake mpaka sasa alipofikia ameshatembea na wanawake wapatao elfu moja, kwa sababu ilifika kipindi kila siku alikuwa akitembea nao watatu. Calisah aliliambia Risasi Jumamosi kuwa, kabla hajawa staa alishatembea na wanawake kama wengi na baada ya kuwa staa akatembea na wengine zaidi na hii yote inatokea kwa sababu asilimia kubwa ya wanawake walikuwa wanajipeleka wenyewe.

“Waache kujirahisisha na waamini kwamba wanaweza kuwatengeneza wanaume wao wenyewe, waache tamaa kuna watu wananitamani na wanataka kuwa na mimi kimapenzi kwa sababu nina jina, navutia, lakini hawajui kama kuna mtu alimtengeneza Calisah tangu yupo chini au kuna kipindi nakosa kabisa pesa, lakini kuna mtu ananielewa na maisha yanasonga mbele, hivyo nawasihi dada zangu wajiamini,” alisema Calisah.
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Je huogopi maandiko matakatifu au u wewe hayakuhusu Je ukimwi pia huuogopi? Km jibu ni yes, je na hao unaoshiriki nao nngono , wamesema hawaogopi?

    ReplyDelete

Top Post Ad