Chris Brown Agoma Kutoa Hela ya Malezi ya Mwanaye

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Chris Brown Agoma Kutoa Hela ya Malezi ya Mwanaye
Baada ya kupata taarifa kuhusiana na mzazi mwenza wa Chris Brown ambaye ni Nia Guzman kutaka ongezeko la Tshs Milioni 48 za matumizi ya mtoto wao Royalty na kufungua mashtaka Chris Brown amekuja na majibu.

Mtandao wa The Guardian umedai kuwa Chris Brown amekataa kutoa kiasi hicho cha fedha anachokitaka Nia Guzman na kudai kuwa kumpatia mtoto wa miaka minne kila kitu anachohitaji ni kuharibu malezi ya mtoto ingawa amekuwa akimuongezea hela ya ziada kila mwezi.

“Kumpatia mtoto mdogo wa miaka minne kila kitu anachohitaji kutapeleka kuharibu malezi, tulikubaliana kiasi cha zaidi ya Tshs Milioni 5 na nimekuwa nikimpatia zaidi tofauti na kile tulichoahidiana na kumpa Tshs Millioni 15 kila mwezi”– Chris Brown

Nia Guzman alifungua mashtaka baada ya kufahamu ongozeko la mapato ya Chris Brown kwa miaka miwili iliyopita na hivyo kutajwa kufikia Tshs Millioni 80 kila mwezi.
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad