Dogo Janja "Watu Waache Kutufatilia Mimi na Mke Wangu Irene Uwoya"

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Dogo Janja baada ya kubanwa kwenye 18 za #XXL na kuulizwa na @mamybabytz kama kweli yeye na @ireneuwoya8 wameachana ajibu hivi "Hatujaachana ni sisi tumeamua kutoweka sana mambo yetu wazi na ndiyo maana unakuta hatuna picha nyingi tulizopiga wote" Baada ya kusema hayo ikabidi amvutie waya mkewe.

"Nimerudi juzi, na sijaenda na Dongo Janja sababu yeye pia ana ratiba zake za kufanya na sioni haja ya kuongozana nae kila sehemu wakati kila mtu ana ratiba zake" pia akaongeza kwa kuwaambia watu "Watu wafanye mambo yao na waache kufuata mambo ya watu" Irene Uwoya
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad