Nisha Ajivunia Makalio Yake na Matiti

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Nisha Ajivunia Makalio Yake na Matiti
BAADA ya kuweka picha mtandaoni na kushambuliwa kwamba amevaa kigodoro, msanii wa filamu nchini, Salma Jabu ‘Nisha’ ameibuka na kueleza kuwa anajikubali sana kwa makalio yake na matiti na hakuna staa anayemfikia.

Nisha aliiambia Za Motomoto News kuwa alichukua futi na kujipima makalio na matiti yake na kuwaangalia mastaa wanawake wenzake ambapo aligundua kwamba anawazidi sana na anamshukuru Mungu kwa kumpa zawadi hizo nzuri za kudumu.

“Najikubali mwenyewe hata kama watu wakinishambulia, sijavaa kigodoro kwenye picha niliyoweka mtandaoni bali ni jinsi Mungu alivyonijaalia na hakuna staa wa kike anayenifikia, najivunia sana kwa kweli,” alisema Nisha
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad