9/20/2018

Swali Kwa Wadada...Hivi Wanaume Warefu na Weusi Wana Nini cha Zaidi Kwenye Mapenzi


 
Swali langu kwa wadada na wataalam wengine wa mambo ya mahusiano,wanaume warefu,weusi wana nini cha ziada tofauti na wanaume wengine?


Nimepata kuwauliza wadada wengi,ambao nimekutana nao maeneo tofauti wangependa waolewe au wawe na mahusiano na wanaume wa aina gani,wengi na karibu sehem kubwa hujibu kua wanapenda wanaume warefu ,weusi.

Mi naomba kujua wanaume warefu,weusi wana nini cha ziada hadi wapendelewe hivyo?

Karibuni sana.
HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:
Loading...

0 [disqus]:

Post a Comment

Loading...

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger