Wakati Wanaume wa leo tukijifanya Mafundi wa Ngono na tukijisifu 24/7 Wasikieni Wenyewe Wenye Kutujua ' Kindakindaki ' Wanasemaje!

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Nanukuu kama nilivyowasikia wengi wao ( namaanisha Wanawake ) wakisema ambapo siongezi wala sipunguzi kitu.....
" Wanaume wa siku hizi wanapalaza na kupapasa tu ila Wanaume wa zamani waliwa Wanakandamiza kabisa hadi unakosa hata hamu ya Tendo kwa Wiki mbili na hata akikuomba tena unamfikiria na kuiwazia Shughuli yake. Wanaume wa leo hata hatuwaogopi kwakuwa tunajua hata tukiwapa hawatuchoshi na sanasana kuna muda huwa tunahisi tu kama Wanawake kwa Wanawake tunafanyana. Wapunguze Sifa na bado hawajachelewa kwenda Kukopa Ujuzi kwa Mababu zao ili wasizidi kutia aibu pale tunapokuwa nao Faragha ".

Kuna wale ambao huwa mnakimbilia kusema ni Wanaume wa Dar pekee ila kwa mujibu wa hawa Wanawake mawazo / maoni yao yamejumuisha Wanaume wote wa nchini Tanzania japo kidogo Wanaume wa kutoka Mkoani Mara na Mtwara walisifiwa ' Kimtindo ' na Wanaume walioongoza kwa ' Kukandiwa / Kusilibwa ' ni wa kutoka Mikoa ya Kagera, Singida, Kigoma na Dodoma bila kusahau na wa kutoka Mikoa ya Ruvuma, Morogoro, Pwani na Dar es Salaam.

Haya Wanaume wenzangu hapa tunasingiziwa tu au Wanawake wetu hawa wamelenga mule mule?

Nawasilisha.
GENTAMYCINE
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad